TUKIO LA MAZINDUZI YA KITABU "KABLA HUJASEMA NDIO" KILICHOANDIKWA NA DOMINICK MWENDA



HILI NI TANGAZO RASMI LA MAZINDUZI YA KITABU CHANGU CHA KABLA HUJASEMA NDIO

KUHUSU KITABU

Kuna maneno ambayo hufungwa  kwa pete [alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe]  lakini yalianza kwenye macho. Kuna mioyo iliyosema "NDIYO" kwa sauti [Nipo tayari kuwa na wewe] Kabla Haijasema "NAJIELEWA" kwa ukimya. na kunasafari ambazo huanza kwa kushikana mikono lakini huishia kwa kushikana maumivu. 

kitabu hiki; kinazaliwa kutoka katika maumivu na matumaini. ni sauti ya kweli kwa kila moyo unaotamani uhusiano wa maana, si wa maigizo. 

KINAGUSA PANDE MBALIMBALI ZA MAHUSIANO KAMA;

  • Wakati sahihi wa kuanzisha mahusiano.
  • Jinsi ya kutibu majeraha ya nafsi yaliyotokana na mahusiano yaliyovunjika.
  • Jinsi ya kukuza upendo kwa mtu unayempenda
  • Jinsi ya kumfanya mtu akupende wewe tu.
  • Jinsi ya kuweka mawasiliano sawa katika ndoa.
  • Lugha za upendo.
  • Jinsi ya kudumisha upendo wa honeymoon siku za maisha yako yote ya ndoa.
  • Kinachofanya watu waingie kwenye mahusiano mabaya.

KINAJIBU MASWALI KAMA;-

  • Kwa nini hisia za mapenzi ni mtego kwa wengi?
  • Kwa nini watu wanatoka kwenye ndoa zao na kwenda kutafuta wenza wengine nje?
  • Yupi ni mtu sahihi wakuingia naye kwenye mahusiano yako?
  • Nani unapaswa kuwa kabla ya kuingia kwenye mahusiano.

KINAWEZA KUTUMIKA NA;-

  • Vijana wasio kwenye mahusiano
  • Watu walio katika ndoa changa zilizo na shida kwenye mawasiliano na upendo wa kweli.
  • Wazazi kwa ajili ya kuwalea watoto wao vyema.
  • Mtu yeyote anayetaka kujifunza juu ya mahusiano kuanzia miaka 13+

Kabla Hujasema Ndiyo ni kitabu kilichoundwa mahsusi kwa vijana wanaojiandaa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, lakini pia kwa wale wote wanaotaka kuelewa thamani ya mapenzi yenye heshima, uwazi, na busara. Kitabu hiki hakizungumzii tu kuhusu mapenzi; kinakufundisha jinsi ya kuthibitisha uamuzi sahihi, kuelewa hisia zako, na kuunda misingi thabiti ya mahusiano yenye afya.

KITABU HIKI KINAZINDULIWA TAREHE 17TH APRIL 2026 - IJUMAA

Kwa nini usikose siku ya mazinduzi?
Siku ya uzinduzi, utapata fursa ya:

  • Kuelewa kwa kina mafundisho ya kitabu

  • Kuuliza maswali moja kwa moja kwa mwandishi

  • Kushiriki katika mijadala ya vijana kuhusu mapenzi na maamuzi sahihi

  • Kupata vitabu Kwa bei ya offer ya zaidi ya asilimia 50.

Tarehe:    [20 March 2026]
Mahali:   [Mzumbe Sec Hole]
Muda:     [saa 6-8 Mchana]

Huu ni msukumo wako wa kwanza kuanza safari ya kujua, kuelewa, na kuamua vyema kabla ya kusema NDIO. Usikose!

KUHUSU MWANDISHI

DOMINICK MWENDA ni kijana aliyeamua kufanya uchunguzi wa kina wa zaidi ya mwaka mmoja kuhusu mahusiano. amesoma majalida mbalimbali, vitabu mbalimbali, na pia mefanya mahojiano na watu waliokatika halitofauti tofauti za mahusiano. pia, dominick anaendesha na uhalisia wa mambo kuliko hisia.

Haandiki ili kufurahisha, bali ili kujenga.

Dominick ni mwandishi, mwongeaji wa motisha na mwalimu wa Neno la Mungu.

Anafurahi kuandika kitabu hiki anachoamini kuwa kinaenda kutengeneza mwonekano mpya kwenye maswala ya Mahusiano.


BEI ZA KITABU

HARD COPY:   TSH 15,000/=

SOFT COPY:     TSH 10,000/=

AUDIO COPY   TSH 15,000/=

OFFER YA ZAIDI YA ASILIMIA 50 ITATOLEWA SIKU YA MAZINDUZI. 

KUIPATA  OFFER HII CLICK LINK HII HAPA CHINI ILI KUJISAJIRI BURE KABISA.

GUSA HAPA UJISAJIRI BURE

MAHALI MAZINDUZI YANAFANYIKA

REGION: MOROGORO

DISTRICT: MVOMERO

LOCATION: MZUMBE SECONDARY HOLE (Karibu na chuo kikuu cha mzumbe)

TIME: SAA 6 KAMILI HADI SAA 9 KAMILI MCHANA

MAWASILIANO;

WhatsApp; +255 614 236 148

Email: dominickmwenda99@gmail.com

UNAWEZA KU ODDER KITABU CHA KABLA HUJASEMA NDIYO HAPA CHINI CHAPU CHAPU

NATAKA HARD COPY


BEST REGARDS;
Dominick Mwenda,
The Author.



Comments

Popular posts from this blog

SIRI NYETI KUHUSU MAHUSIANO BY DOMINICK MWENDA

TRUST IN GOD'S TIMING BY ERICA BROWN edited by DOMINICK MWENDA

DOMINICK MWENDA : THE PRESTIGE OF BEING WITH GOD