Posts

TUKIO LA MAZINDUZI YA KITABU "KABLA HUJASEMA NDIO" KILICHOANDIKWA NA DOMINICK MWENDA

Image
HILI NI TANGAZO RASMI LA MAZINDUZI YA KITABU CHANGU CHA KABLA HUJASEMA NDIO KUHUSU KITABU Kuna maneno ambayo hufungwa  kwa pete [ alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe ]  lakini yalianza kwenye macho. Kuna mioyo iliyosema "NDIYO" kwa sauti [Nipo tayari kuwa na wewe]  Kabla Haijasema "NAJIELEWA" kwa ukimya. na kunasafari ambazo huanza kwa kushikana mikono lakini huishia kwa kushikana maumivu.  kitabu hiki; kinazaliwa kutoka katika maumivu na matumaini. ni sauti ya kweli kwa kila moyo unaotamani uhusiano wa maana, si wa maigizo.  KINAGUSA PANDE MBALIMBALI ZA MAHUSIANO KAMA; Wakati sahihi wa kuanzisha mahusiano. Jinsi ya kutibu majeraha ya nafsi yaliyotokana na mahusiano yaliyovunjika. Jinsi ya kukuza upendo kwa mtu unayempenda Jinsi ya kumfanya mtu akupende wewe tu. Jinsi ya kuweka mawasiliano sawa katika ndoa. Lugha za upendo. Jinsi ya kudumisha upendo wa honeymoon siku za maisha yako yote ya ndoa. Kinachofanya watu waingie kwenye mahusiano...

TRUST IN GOD'S TIMING BY ERICA BROWN edited by DOMINICK MWENDA

Image
    I'm Erica Brown, motivational book and script writer, change maker and new generation builder. I wish to share with you the very good message about TRUSTING IN GOD'S TIMING today. Let's look on it!!   Trusting God's unseen plan As I sat in the darkness of uncertainly I couldn't help but wondering why God was delaying my breakthrough. I had prayed waited and trusted but the silence was deafening. It was when I remembered Joseph's story from the bible how he spent years in prison wondering why God had abandoned him only to be elevated to a position and power of influence. Like Joseph I realized that God's timing is not our own.His delays are not denials rather than opportunities for growth, preparation and divine appointment. From Genesis 50:30 the word of God says "you meant it for evil, but God meant it for good". That means Joseph's suffering became someone's blessing may be your waiting is preparing you to be something grea...

NAMNA YA KUACHA DHAMBI BY DOMINICK

Image
  Wote waliochagua kuwa watoto wa MUNGU hawanabudi kuwa najuhudi kuacha dhambi, kwa maana BABA yao ni mtakatifu, nao hawana budi wawe watakatifu! Sasa, twende tuchunguze ni nini tufanye sasa; ikiwa twataka kuacha kutenda dhambi (uovu) lakini hatuwezi! Soma kitabu cha Warumi 7:14-25. Irudie kuisoma walau mara mbili au mara tatu KWA MSISITIZO WA KIROHO! Umepata kitu hapo? Sasa tuchambue; Paulo anaeleza kwenye aya 14 kwamba; “… kwa kuwa mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi” maneno haya yanaeleza habari ya asili ya dhambi ambayo ni mwili huu.  Mwili ulishakataa kufanya yaliyomema, hivyo wahitaji Roho Mtakatifu ili upate kutenda yafaayo. Hatua ya kumwitaji Roho Mtakatifu ni ya msingi sana kwenye maisha; lakini swali ni kwamba unamwalika Roho kwako; je akaye katika mazingira gani? Wengi wanatamani sana kumpata huyo Roho mtakatifu, ni jambo jema! Lakini, hakikisha kunausafi ndani yako ndipo utakapobakia na ushuhuda wa ROHO! Hangaikia kwanza mazingira ya huyo ROHO kuishi n...

TUMIA MAOMBI KATIKA KUUJENGA UFALME WA MUNGU DUNIANI. DOMINICK MWENDA

Image
Mungu aliumba ulimwengu kama mwendelezo(extension) na upanuzi(expansion) wa ufalme wa mbinguni, kisha alimwumba mwanadamu autawale ufalme huo katika mfumo wa kimwili(physical realm). Baada ya shetani kumdanganya mwanadamu, aliuchukua kiuhalali ufalme huo. MUNGU MWENYEZI aliona sio vyema ufalme huo kuwa chini ya Ibilisi ilihali alimwumba mwanadamu ili autawale. Hivyo akaona ni vyema ampeleke Adamu wa pili [YESU KRISTO] ili arudishe ufalme huo uliopotea. Tokea wakati huo tulipoupoteza ufalme, ufalme huo hutekwa na watu wenye nguvu katika namna ya kiroho. Maombi ni nguvu kubwa ambayo kila mtu duniani huweza kuwa nayo. Ni yeye tu namna ya kuitumuia kujijenga kiroho ili kuuteka ufalme huo.  Changamoto ya wakristo wengi wa leo ni kwamba wanaomba kwa kumaanisha sana pale wanapokuwa katika shida na dhiki tu, mara wanapokuwa katika nyakati nzuri hawana habari na maombi. Kitu hiki kimefanya sisi tuingie gharama kubwa. Huenda ungekuwa na tabia ya kuomba hata kwenye nyakati zako za furaha , ba...

MAANA HALISI YA UKRISTO BY DOMINICK MWENDA

Image
 Sehemu fulani hivi alisikika mama mmoja akijibu kwa ujasiri mkubwa mara baada ya kuulizwa swali; kwanini unamtumikia Mungu? Nafikiri wewe ungekuwa na chakujibu, ungejibu vipi? Mama huyu akaanza kwa kusema; ikiwa na mtumikia MUNGU ili niende mbinguni na anipeleke motoni, Ikiwa namtumikia MUNGU ili nisiende motoni, na nipelekwe motoni; lakini ikiwa na mtumikia MUNGU kwa vile anastahili kufanyiwa hivyo na nipelekwe mbinguni. Majibu haya yalimridhisha muuliza swali. Je, jibu lako lingekuwa nini, je linakinzana na hili alilolijibu huyu mama? Wengi wanaenda makanisani kusali ili wafu wao au wao wenyewe wazikwe kwa heshima ya kiibada, ili waonekane na wao wa pamoja na wale wanaowasaidia, ili kuficha maovu yao, ili kumaliza shida zao walizonazo, ili waonekane ni watu wema, ili wafiche makucha yao. Bila kutupilia mbali vijana; ili kupata wenza makanisani kwa unafiki wa kujifanya wana kondoo kumbe ni mbwa mwitu wa kali. Siipingi mitazamo hii huenda ni mizuri; ila haifai mbele za MUNGU. Je w...

ABOUT ME! POSTED BY DOMINICK MWENDA

Image
  DOMINICK MWENDA  It was after sunset at May 11th 2008, in the place called Madaba in RUVUMA REGION born a wonderful kid. His name is Dominick Mwenda, a young African writer, life coach, minister in Spiritual services and change maker driven by one belief: Africa does not need saving it needs awakened minds. He was educated in Tanzania,  He got his primary education in RUVUMA REGION, and secondary education in Mzumbe secondary school, where He completed his Ordinary Level (Form Four) education. His school journey did more than prepare him for exams; it shaped his questions about life, gospel, leadership, purpose, and the responsibility of young people in building a new Africa. Even in the classroom, his heart was already in the community. He is the Founder of GLOBAL PREMIUM EDUCATION NETWORK (GLOPEC NETWORK), an initiative established in 2024 with a mission to empower young people through education, leadership, ethics, and mindset transformation. Through GLOPEC, He has o...

VITA KATI YA NURU NA GIZA ##THE BATTLE BETWEEN LIGHT AND DARKNESS BY DOMINICKMWENDA

Image
Sehemu fulani hivi hapa Tanzania, kulikuwa na vijana watatu waliokuwa wamesimama kweli kweli katika huduma. Vijana hawa walishikamana kama mchwa, walikuwa waombaji wazuri sana. Kwa jambo lolote hawakujua njia nyingine ya kwanza zaidi ya kuliweka mbele za MUNGU wa majeshi. Watu walipowaona waliwatazama mbali katika huduma zao za kiroho; na wengine hata kuwalinganisha wao na UTATU MTAKATIFU kwa kuwa walikuwa watatu walioshikamana kama kitu kimoja. Baada ya muda fulani; wale vijana wakaondoka kila mtu kwenda sehemu yake. Mpaka leo; kijana wakwanza, aliingia kwenye biashara ya kuuza baa [pub], mwingine sio siku nyingi alipatwa na kesi ya kutembea na mke wa mtu, na watatu, haeleweki, hata kanisani ni mtihani kwenda. Je, umewahi kukutana na watu kama hawa?  Je, yamkini hawa wameishindwa ile vita ya kiroho? Biblia ilikuwa inamaanisha sana iliposema kwenye 1 Wakorinto 10:12 Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke. Mungu aliiumba dunia kama upanuzi[expansion] na mwend...